Nenda kwa yaliyomo

Space Jam (kibwagizo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Space Jam
Space Jam Cover
Soundtrack ya Wasanii tofauti
Imetolewa 12 Novemba 1996
Imerekodiwa 1996
Aina R&B, pop, hip hop
Urefu 65:16
Lebo Atlantic
Mtayarishaji Ken Ross, Craig Kallman, Dominique Trenier
Tahakiki za kitaalamu


Space Jam ni kibwagizo halisi cha albamu ya filamu ya mwaka wa 1996 yenye jina sawa na la albamu, ambayo ndani yake imechezwa na Michael Jordan na washiriki wote wa Looney Tunes. Albamu imeshirikisha kibwagizo cha filamu ambacho pia kilichopigwa na kutolewa na James Newton Howard. Kibwagizo hiki kilitolewa na studio ya Atlantic Records mnamo 12 Novemba 1996.

Mapokezi

[hariri | hariri chanzo]

Kibwagizo hiki kimepokea tathmini nzuri na kilipata mafanikio mazuri kabisa kwenye chati za Billboard 200, kwa kushika nafasi ya #2. Kibwagizo hiki pia kilifanikiwa kuuza vizuri kabisa; ilitunukiwa kama platinamu mbili mfululizo chini chini ya miezi miwili baada ya kutolewa, mnamo mwezi wa Januari 1997. Mnamo mwaka wa 2001, kibwagizo kilitunukiwa Platinamu 6x. [1]

Orodha ya nyimbo

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Fly Like an Eagle" umeimbwa na Seal – 4:14
  2. "The Winner" umeimbwa na Coolio – 4:03
  3. "Space Jam" umeimbwa na Quad City DJ's – 5:07
  4. "I Believe I Can Fly" umeimbwa na R. Kelly – 5:22
  5. "Hit 'Em High (The Monstars' Anthem)" umeimbwa na B-Real wa Cypress Hill, Coolio, Method Man, LL Cool J na Busta Rhymes – 4:17
  6. "I Found My Smile Again" umeimbwa na D'Angelo – 6:15
  7. "For You I Will" umeimbwa na Monica – 4:56
  8. "Upside Down ('Round-N-'Round)" umeimbwa na Salt-N-Pepa – 4:16
  9. "Givin' U All That I've Got" umeimbwa na Robin S. – 4:04
  10. "Basketball Jones" umeimbwa na Barry White na Chris Rock – 5:40
  11. "I Turn To You" umeimbwa na All-4-One – 4:52
  12. "All of My Days" umeimbwa na Changing Faces wakimshirikisha R. Kelly na Jay-Z – 4:01
  13. That's the Way (I Like It)" umeimbwa na Spin Doctors wakimshirikisha Biz Markie – 3:49
  14. "Buggin'" umeimbwa na Bugs Bunny (Billy West), Daffy Duck (Dee Bradley Baker) na Elmer Fudd (Billy West) – 4:14

Single za albamu

[hariri | hariri chanzo]
Maelezo ya Single
"For You I Will"
  • umeimbwa na: Monica
  • Imetolewa: Februari 1997
  • Miundo: CD
  • Nafasi za chati: #27 UK; #2 NZ; #4 US
"I Believe I Can Fly"
  • Umeimbwa na: R. Kelly
  • Imetolewa: 1996
  • Miundo: CD, cassette
  • Nafasi za chati: #1 UK; #1 NZ; #2 US
"Space Jam"
  • Umeimbwa na: Quad City DJ's
  • Imetolewa: 3 Desemba 1996
  • Miundo: CD
  • Nafasi za chati: #24 NZ; #37 US; #57 UK
"Hit 'Em High (The Monstars' Anthem)"
"The Winner"
  • Umeimbwa na: Coolio
  • Imetolewa:1997
  • Miundo: CD
  • Nafasi za chati: #53 UK
"Fly Like an Eagle"
  • Umeimbwa na: Seal
  • Imetolewa: 10 Februari 1997
  • Miundo: CD
  • Nafasi za chati: #10 US; #13 UK; #61 GER

Tanbihi na marejeo

[hariri | hariri chanzo]
  1. "RIAA Gold and Platinum Searchable Database". Iliwekwa mnamo 2009-01-23.


Kigezo:Mbegu-kibwagizo